Rais Samia amteua Rose Migiro

ZANZIBAR: RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Dk Asha Rose Migiro kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango.

Taarifa ya Ikulu imeeleza kuwa Rais Samia pia amemteua Selestine Gervas Kakele kuwa Balozi.

Kakele alikuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa uapisho wa viongozi hao na wengine utafanyika Aprili 4, Ikulu Dar es Salaam.

Habari Zifananazo

Back to top button