Samia aongoza kikao Kamati Kuu CCM
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan,leo Mei 21,2023 ameongoza kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma iliyozunduliwa rasmi jana.