Samia aridhia Chongolo kujiuzulu

DAR ES SALAAM. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia  ni Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameridhia kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo.

9 comments

Comments are closed.