Samia ataka viongozi wateule wapitie hoja za CAG

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wateule kuhakikisha wanapitia na kufanyia kazi ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ili kujibu hoja zilizotolewa.

Rais Samia ameyasema hayo leo, Ikulu jijini Dar es Salaam katika hafla ya kuapisha viongozi wateule wa ngazi mbalimbali za uongozi nchini

“Ripoti ya CAG ikafanyiwe kazi na hoja zijibiwe haraka ‘immediately’,” amesema Amiri Jeshi Mkuu.

Advertisement