Samia atengua uteuzi Mkurugenzi wa Jiji Mwanza

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Sekiete Yahaya Selemani kuanzia Aprili 16, 2023.

Taarifa hiyo imethibitishwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Zuhura Yunus.

Habari Zifananazo

Back to top button