Samia ateua viongozi Mahakama Kuu

DAR ES SALAAM: RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua, Sylvester Joseph Kainda kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus imeongeza kuwa Rais Samia amemteua Eva Kiaki kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama Kuu Tanzania.

Chiganga Mashauri Tengwa ameteuliwa kuwa Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

Habari Zifananazo

Back to top button