Samia katika ukaguzi wa mitambo ya madini
DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan akikagua baadhi ya mitambo iliyotolewa na Wizara ya Madini kwa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na kwa wachimbaji wadogo wakati wa hafla ya uzinduzi wa mitambo ya uchorongaji inayofanyika leo Oktoba 21, mjini Dodoma.