SENSA2022: Watoto katika mazingira magumu wahesabiwa Mara

ZOEZI la Sensa ya Watu na Makazi linalofanyika nchi nzima linaendelea mkoani Mara na kwamba makarani waliwaweza pia kuhesabu watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

 

Askari wa Kitengo cha Dawati la Jinsia, Polisi Manispaa ya Musoma, (WP ) Julieth Samson akishiriki mlo wa usiku na watoto wanaoishi ktk mazingira magumu, wakati wakisubiri kuhesabiwa kwenye Sensa ya Watu na Makazi.

Habari Zifananazo

Back to top button