MRATIBU wa Sensa Kitaifa, Seif Kuchengo amesema zoezi la sensa linaendelea vizuri kitaifa ambapo hadi jana zaidi ya wananchi milioni kumi walikuwa wameshahesabiwa huku idadi ya wanaume ikiwa asilimia 51.
7 na wanawake wakiwa asilimia 48.
3.
Kuchengo amesema Idadi kubwa ya watu waliohesabiwa ni kutoka Mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza na Shinyanga.