Sera, sheria ya Tehama yanukia

DAR ES SALAAM: SERIKALI,kupitia Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia ya
Habari, ipo katika hatua mbalimbali za kukamilisha Sera yaTaifa ya TEHAMA 2023.

Katibu Mkuu, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohamed Abdullah ameyasema hayo leo Novemba 6, 2023 katika hafla ya utiaji saini ya unganishaji wa Taasisi 661 katika mtandao wa pamoja.

Abdullah amesema serikali pia ipo mbioni kutoa Sera ya Taifa ya Ubunifu na Kampuni Changa za
Tehama 2024 (Start-ups Policy) na Mpango wa Miundombinu ya Umma ya Tanzania (Tanzania Digital Public Infrastructure Blue Print),

 

Habari Zifananazo

Back to top button