Serikali kuboresha uwekezaji, biashara utalii
DODOMA: Serikali imedhamiria kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji katika sekta ya utalii ili ichangie kikamilifu uchumi na maendeleo ya taifa. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dk Pindi Chana ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa tatu wa wizara hiyo kuhusu majadiliano baina ya sekta ya umma na binafsi katika utalii uliofanyika leo … Continue reading Serikali kuboresha uwekezaji, biashara utalii
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed