Serikali kushirikiana na wadau agenda nishati safi
DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema ipo tayari kushirikiana na kutoa msaada kwa wadau wa nishati wanaofanya juhudi za kusukuma mbele ajenda ya matumizi bora ya nishati nchini. Hayo yalielezwa jana Dar es Salaam na Mkurugenzi Msaidizi, Sehemu ya Utawala katika Wizara ya Nishati, Wilson Nyamanga kwa niaba ya Katibu Mkuu wa wizara hiyo wakati wa … Continue reading Serikali kushirikiana na wadau agenda nishati safi
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed