Serikali kutoa ufafanuzi tozo za miamala ya simu, benki

WIZARA ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki hapo kesho Septemba Mosi ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha.

 

Advertisement