Serikali yapewa ushauri athari uamuzi wa Trump

SERIKALI imeshauriwa kutenga bajeti ya ziada kugharimia programu zilizokuwa zikifadhiliwa na serikali ya Marekani ili wananchi wasikose huduma zikiwemo za afya. Aidha, Bunge limeombwa kujadili kwa dharura uamuzi wa Serikali ya Marekani wa kuzuia misaada kwa nchi masikini ikiwemo ya afya na liishauri serikali kwa manufaa ya nchi. Miongoni mwa waliozungumza na gazeti la HabariLEO … Continue reading Serikali yapewa ushauri athari uamuzi wa Trump