Sh bil 69/- kutekeleza chanjo, utambuzi mifugo

SIMIYU: SERIKALI imetoa Sh bilioni 69 kwa awamu ya kwanza katika kuhakikisha Wizara ya Mifugo inaendesha kampeni ya kutoa chanjo na kutambua mifugo yote iliyoko Tanzania kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Ashatu Kijaji akizungumza na waandishi wa habari amesema zoezi la utambuzi wa mifugo na chanjo utafanyika kwa kipindi cha … Continue reading Sh bil 69/- kutekeleza chanjo, utambuzi mifugo