Sheria ya manunuzi yatajwa wizi serikalini
WACHAMBUZI wa masuala ya uchumi na siasa wameishauri serikali ifanye tathmini ya sheria ya ununuzi, mifumo ya maadili ya utumishi wa umma na mifumo ya ukusanyaji wa mapato kwa kuwa vinachangia wizi wa fedha za miradi. Pia wameshauri wabadhirifu wa fedha za umma watangazwe hadharani kwa kuwa kuendelea kuwaficha ni sawa na kukubali tatizo liendelee. … Continue reading Sheria ya manunuzi yatajwa wizi serikalini
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed