Siku ya Walimu yafana Bukombe

BUKOMBE, Geita: OKTOBA 05, 2023 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Walimu duniani.

Ambapo, wilayani Bukombe, Mkoa wa Geita siku hii inaadhimishwa leo Oktoba 06, 2023, hata hivyo Viongozi mbalimbali wa Kitaifa na Mkoa pamoja na Walimu wilayani Bukombe wamehudhuria sherehe hiyo.

Aidha, mgeni rasmi katika sherehe hiyo ni Waziri Mkuu Mstaafu wa awamu ya nne, Mizengo Pinda.

Viongozi wengine wanaoshiriki  sherehe hiyo ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella.

Kaulimbiu ya Siku hii ni “Asante Mwalimu, Wewe ni Taa Yetu”

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
8 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button
8
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x