Silaa ataka minara ya mawasiliano ikamilike kwa wakati
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameuagiza Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ( UCSAF),unayasimamia makampuni yote ya mawasiliano yaliyoingia mkataba kujenga minara 758 kote nchini ili kumaliza kazi kwa wakati kufikia Mei 12 mwaka huu kwa vile hakutakuwa na muda wa nyongeza. Slaa ametoa agizo hilo akiwa kwenye ziara ya kikazi ya … Continue reading Silaa ataka minara ya mawasiliano ikamilike kwa wakati
Copy and paste this URL into your WordPress site to embed
Copy and paste this code into your site to embed