Silva aaga Chelsea

BEKI wa Chelsea, Thiago Silva ameaga rasmi kwa mashabiki wa timu hiyo ambapo anatarajiwa kuondoka mwishoni mwa msimu huu.

“Ningependa kusema shukrani kwa heshima mliyonipa na familia yangu, najua sababu hazijaisha, lakini hatukuwa na msimu ambao Chelsea ulistahili, samahani sana kwa hilo.” Amesema Silva.

Tetesi zinaeleza kuwa Silva huenda akasepa nchini kwako Brazil kukipiga katika klabu ya Fluminense FC.

Silva 38 alijiunga na Chelsea 2020 akitokea PSG.

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
2 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
trackback
4 months ago

[…] LONDON, England – May 14, 2023 6 0 Facebook Twitter Pinterest WhatsApp Facebook TwitteLinkedSambaza kupitia barua […]

trackback
4 months ago

[…] post Silva aaga Chelsea first appeared on […]

Back to top button
2
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x