Simba, Azam, Yanga wapangiwa wababe wao

DROO ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam imetoka leo, Yanga imepangwa kucheza na Kurugenzi FC, Simba na Eagle FC, Azam na Malimao FC ya Katavi, michezo hiyo itaanza kutimua vumbi Disemba 9, 2022.

Michezo mingine, Fountain Gate vs Rhino, JKT Tanzania vs Biashara United, Nduguti Stars vs Gwambina FC, African Lyon vs Mbuni, Kigoma Kwanza FC vs Buhaya FC, Cosmopolitan vs Mbeya Kwanza, Majimaji FC vs Kengold FC, Mashujaa vs Pamba, Polisi Katavi vs Mbeya Road.

Mbao FC vs Mapinduzi, Silent Ocean vs Copco, Magereza vs Pan Africans, New Dandii vs E4M FC, Afya vs Africans Sports, Nzega vs KFC, Green vs Stand United, Geita Gold FC vs Transt Camp, Ihefu FC vs Mtama Boys, Kagera Sugar vs Bugare FC.

Dodoma Jiji FC vs TMA Stars, Ruvu Shooting FC vs Ndanda FC, Namungo FC vs Kitayose, Polisi Tanzania vs Nyika FC, Mbeya City FC vs Stand FC (Mtwara), Mtibwa Sugar vs TRA (Kilimanjaro), Prisons vs Misitu FC (Tanga), Singida Big Stars vs Lipuli FC, Coastal Union vs Tanga Middle, KMC FC vs Tunduru Korosho.

 

Habari Zifananazo

Back to top button