Simba Day Agosti 6

MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally ametangaza kuwa Agosti 6, 2023 itakuwa ni siku ya tamasha la Simba Day.

Kwa mujibu wa Ahmed, wameamua kurudisha nyuma tarehe ya tamasha hilo kwa sababu Agosti 10 kutakuwa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountaine Gate.

“Tunataka wachezaji wetu wapate muda wa kupumzika.” Ahmed Ally.

Tamasha hilo huwa linafanyika kila mwaka kwa lengo la kutambulisha wachezaji wapya pamoja na benchi la ufundi.

Habari Zifananazo

Back to top button