Simba haoo kambini Misri

DAR ES SALAAM; Baadhi ya wachezaji wa Simba wakiwa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tayari kwa safari ya kwenda nchini Misri leo Julai 8, 2024 kwa maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano ya kimataifa. (Picha na mtandao wa Simba).

Advertisement