Simba kucheza na Power Dynamos Simba Day

Simba SC itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Zambia, Power Dynamos katika sherehe ya ‘Simba Day’ Agosti 06, mwaka huu.

Mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Wasanii, Tunda Man, Meja Kunta na Whozu kuwa watasherehesha tamasha hilo.

Advertisement

“Siku zinapokwenda tutaendelea kutangaza wasanii wengine ambao watakuwepo,”Ahmed Ally