Simba kuzindua jezi Mlima Kilimanjaro

KLABU ya Simba imesema itazindua jezi mpya za msimu wa 2023/2024 juu ya Mlima Kilimanjaro.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Iman Kajula amesema jezi ya kwanza itaanza kupandishwa juu yam lima huo Jumatano ijayo na itakuwa kileleni Ijumaa.

“Ijumaa saa 1:00 usiku jezi itakuwa imefika kileleni kwenye Mlima Kilimanjaro. Itazinduliwa na itaonekana rasmi siku hiyo.

” amesema Imani Kajula.

Kajula amesema kuanzia Jumamosi Julai 22, 2023 jezi zitakuwa kwenye maduka yote nchini.

Habari Zifananazo

4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button