Simba waungana na Yanga kifo cha Madega

UONGOZI wa Simba umetoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wa aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Iman Madega aliyefariki dunia leo wilayani Chalinze mkoani Pwani.

Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo leo Februari 10, 2024 imeeleza kuwa klabu hiyo inaungana na Wanayanga katika kipindi hiki.

Madega aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Yanga kuanzia mwaka 2006 hadi 2010. Kiongozi huyo amefariki akiwa Chalinze,

Advertisement