Simba yamnasa Ngoma

SIMBA SC imetangaza kumsajili Kiungo, Fabrice Ngoma kutoka DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Al Hilal ya Sudan.

Ngoma amewahi kucheza Raja Casablanca ya Morocco na AS Vita Club ya nchini kwao.

Habari Zifananazo

Back to top button