KIKOSI cha Simba SC kiwewasili nchini Uturuki kwa ajaili ya maandalizi ya msimu mpya.
Simba imetoa taarifa za kuwasili nchini humo kupitia mitandao yao ya kijamii.
“Kwasasa kimeanza safari kuelekea jijini Ankara ambako tutaweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya.” Imeeleza taarifa hiyo.