Simba yazindua uzi wa AFL

SIMBA SC imezindua jezi rasmi zitakazotumika kwenye mashindano ya ‘African Football League’ yatakayoanza Oktoba 20, 2023.

Mchezo wa ufunguzi utakuwa kati ya Simba na Al-Ahly ya Misri, uwanja wa Mkapa.

“Nafurahi kuwambia baada ya uzinduzi wa jezi hii, jezi zitaanza kupatikana kwenye maduka ya Sandaland. Leo wataanza kupendeza.” Amesema Salim Abdallah, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba.


Salim Abdallah ‘Try Again’ ameishukuru serikali kwa kwa kukubali kufanya marekebisho ya uwanja wa Mkapa ambao utatumika katika mchezo wa ufunguzi.

Habari Zifananazo

4 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
Back to top button