Siwa Mkurugenzi mpya usalama wa taifa
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Ali Idd Siwa kuwa Mkurugenzi Mpya wa Usalama wa Taifa.
Uteuzi huo umefanyika leo na ameapishwa leo hii Agosti 28,2023 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Siwa, anachukua nafasi ya Said Hussein Massoro ambae ameteuliwa kuwa balozi