Soko la Chuwini kuleta mapinduzi kiuchumi

ZANZIBAR: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, CPA Amos Makalla amesema soko la kisasa la Chuwini litaleta Mapinduzi makubwa ya kiuchumi kwa wananchi Zanzibar. Amesema hayo leo jana Januari 31,2025 alipokuwa akikagua mradio huo wa kimkakati kwenye muendelezo wa ziara yake ya mikoa sita ya kichama … Continue reading Soko la Chuwini kuleta mapinduzi kiuchumi