Mshambuliaji Luis Súarez amesaini mkataba rasmi kama mchezaji mpya wa Inter Miami.
Hatua zote za usajili zimekamilika na amesaini mkataba wa mwaka mmoja pamoja na kipengele cha msimu mwingine unaotumika hadi 2025.
Baada ya usajili huo, Suarez anaungana na Messi, Busquets, Alba wote wamewahi kucheza pamoja huko Barcelona.
Suarez ameisaini mkataba huo akitokea Gremio ya Brazil.