Surua yaua watoto 15 Yemen

Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limesema kuwa katika kipindi cha miezi saba iliyopita watoto 15 wa raia wa Yemen wamefariki dunia kutokana na ugongwa wa surua (Measles).

UNICEF imeeleza taarifa hiyo kupiti tovuti yao. Imefafanua kuwa watoto wasiopungua 1,400 katika mikoa saba ya Yemen ikiwemo mkoa wa Aden kusini mwa nchi hiyo walipata ugonjwa huo kati ya mwezi Januari na Julai mwaka huu.

Shirika hilo na washirika wake imezisaidia mamlaka husika za Yemen kutoa chanjo za polio kwa watoto wenye umri sifuri hadi miaka 10; na kutoa chanjo za surua kwa wenye umri kuanzia miezi 6 hadi miaka 10.

Surua ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza sana unaoenea kwa watoto.

Ugonjwa huo husaba

Habari Zifananazo

Back to top button