Taasisi ya Mandela yazindua kituo mafunzo kidijitali

TAASISI ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela imezindua kituo cha elimu kwa njia ya kidigitali (C-CoDE)  ambacho kimegharimu zaidi ya Dola 100,000 na kitatumika kwa ajili ya walimu kuandaa vipindi ambavyo vitafundishwa kidigitali.

Hayo yamesemwa jjini Arusha na Makamu Mkuu  wa Taasisi hiyo, Profesa Maulilio Kipanyula wakati akizungumza katika uzinduzi huo Arusha.

Prof Kipanyula amesema kituo hicho kitatumika  kufundisha walimu na wakufunzi kutoka vyuo mbalimbali nchini kwa ajili ya kuwajengea uwezo wa kufundisha kidigitali.

Ameongeza kituo hicho kimefadhiliwa na serikali ya Uswisi kwa kushirikiana na vyuo viwili  kutoka Uswisi na Morocco ambapo kituo hicho kitakuwa msingi na cha kihistoria kwani ni jambo ambalo walikuwa wanatamani kutoa elimu kidigitali  kwa  muda mrefu .

“Elimu ya kidigitali inawezesha watu kupata maarifa kwa usawa wakiwa popote nchini na kituo hiki kitakuwa  ndio mwarobaini wa kuleta chachu kwa taasisi zingine nchini kuanza kutoa elimu kidigitali.

Kwa upande wake mgeni rasmi katika uzinduzi huo, Mkurugenzi wa Sayansi Teknolojia na ubunifu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia  ,Prof Ladslaus Mnyone amesema kitendo kilichofanywa na taasisi hiyo kinapaswa  kupongezwa na kuigwa na taasisi zingine kwani hivi sasa serikali inasisitiza sana taasisi na vyuo kuwekeza katika kutoa elimu kidigitali ili iweze kumfikia kila mmoja popote pale alipo.

Amesema nafasi ya teknolojia ni ya muhimu sana katika taasisi mbalimbali kwani zinawezesha utoaji wa elimu kwa haraka na kumfikia mhusika kwa njia rahisi akiwa sehemu yoyote na kuweza kupata vijana wenye umahiri wa hali ya juu.

“Kuna wadau wengi wanahitaji kuunga mkono juhudi za  serikali tunawakaribisha sana na milango ipo wazi kwa ajili ya kufanya majadiliano  na kuangalia namna ya kufanya na kuhakikisha kila kijana wa kitanzania anapata  elimu akiwa mahali popote pale.”amesema .

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo -Utafiti (UDSM) Prof .Nelson Boniface  amesema kupitia kituo hicho watanzania wengi  wataweza kupata elimu kwa njia ya kidigitali kwani ni kituo cha mfano na ni cha kipekee kwa nchi yetu .

“Kuna vituo vitatu  tu kwa Afrika Mashariki na hiki ni kituo cha kwanza kwa Tanzania kinachotoa elimu kwa njia ya kidigitali ili kuweza kuwafikia watanzania wengi walioko katika maeneo  mbalimbali wakiwemo walioko Vijijini pia na sisi tumekuja kujifunza kwa wenzetu ili tuweze kushirikiana nao .”amesema .

Habari Zifananazo

Subscribe
Notify of
guest
8 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments
MONEY
MONEY
1 month ago

CHAGUA CHAMA! CHAGUA MTU! 2023 MWANAMKE AWE KAZI:!?

Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga “rushwa na hali mbaya ya maisha”.

Katika matangazo ya moja kwa moja ya Facebook, mwanaume huyo alisema maisha yake yameharibiwa na kuwa hana uwezo wa kupata kipato

Capture.JPG
Paula Spells
Paula Spells
Reply to  MONEY
1 month ago

Work at home for the United States of America My friend earns $164 per hour using a computer. Sh­­e h­­as b­­een u­­ne­­mpl­­oyed fo­­r ei­­ght mo­­nths bu­­t l­­ast­­ m­­onth h­­er b­­ut ­­pa­­y ch­­eck wa­­s ­­ $26,­­0­­00 j­­ust w­­ork­­ing on­­ t­­he co­­mp­­uter f­­or a f­­ew ho­­urs.
More infor…. http://Www.Smartwork1.com

MONEY
MONEY
1 month ago

CHAGUA CHAMA! CHAGUA MTU! 2023 MWANAMKE AWE KAZI:!?

Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga “rushwa na hali mbaya ya maisha”.

Katika matangazo ya moja kwa moja ya Facebook, mwanaume huyo alisema maisha yake yameharibiwa na kuwa hana uwezo wa kupata kipato..

R.jpeg
MONEY
MONEY
1 month ago

CHAGUA CHAMA! CHAGUA MTU! 2023 MWANAMKE AWE KAZI:!?

Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga “rushwa na hali mbaya ya maisha”.

Katika matangazo ya moja kwa moja ya Facebook, mwanaume huyo alisema maisha yake yameharibiwa na kuwa hana uwezo wa kupata kipato…

11.jpg
MONEY
MONEY
1 month ago

CHAGUA CHAMA! CHAGUA MTU! 2023 MWANAMKE AWE KAZI:!?

Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga “rushwa na hali mbaya ya maisha”.

Katika matangazo ya moja kwa moja ya Facebook, mwanaume huyo alisema maisha yake yameharibiwa na kuwa hana uwezo wa kupata kipato….

Screenshot_20190909-051939.jpg
MONEY
MONEY
1 month ago

CHAGUA CHAMA! CHAGUA MTU! 2023 MWANAMKE AWE KAZI:!?

Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga “rushwa na hali mbaya ya maisha”.

Katika matangazo ya moja kwa moja ya Facebook, mwanaume huyo alisema maisha yake yameharibiwa na kuwa hana uwezo wa kupata kipato…….

….

leo.jpg
MONEY
MONEY
1 month ago

CHAGUA CHAMA! CHAGUA MTU! 2023 MWANAMKE AWE KAZI:!?.

Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga “rushwa na hali mbaya ya maisha”.

Katika matangazo ya moja kwa moja ya Facebook, mwanaume huyo alisema maisha yake yameharibiwa na kuwa hana uwezo wa kupata kipato

OIP (2).jpeg
MONEY
MONEY
1 month ago

CHAGUA CHAMA! CHAGUA MTU!. 2023 MWANAMKE AWE KAZI:!?

Mwanaume mmoja raia wa Misri amejichoma moto, kisha kuokolewa na polisi na wapita njia katika uwanja wa Tahrir, jijini Cairo, mtu huyo alifanya hivyo kupinga “rushwa na hali mbaya ya maisha”.

Katika matangazo ya moja kwa moja ya Facebook, mwanaume huyo alisema maisha yake yameharibiwa na kuwa hana uwezo wa kupata kipato

OIP (1).jpeg
Back to top button
8
0
Would love your thoughts, please comment.x
()
x