Taasisi za serikali bandarini kuendelea na shughuli zake

“Taasisi zote za Serikali ambazo zinahusika katika shughuli za bandarini zitaendelea kutekeleza majukumu yao kwa mujibu wa Sheria ndani ya eneo la bandari. Uwepo wa sekta binafsi kutoa huduma katika maeneo ya bandari umeendelea kuwepo na kusimamiwa na Serikali kwa miongo tofauti tofauti. Aidha, katika kipindi chote ambacho Sekta Binafsi imehusishwa katika uendeshaji wa bandari. Hakujawahi kujitokeza tukio la kuhatarisha usalama wa nchi.”Waziri wa Uchukuzi Makame Mbarawa.

Add a comment

Toa Jibu

Barua-pepe haitachapishwa. Fildi za lazima zimetiwa alama ya *