Majaliwa ataka tafiti za tija mabadiliko sekta ya afya

DAR ES SALAAM: SERIKALI imetawaka watafiti na watunga sera kuwekeza katika tafiti zenye tija ili matokeo yake yatumike kutunga sera na mipango itakayoleta mabadiliko katika sekya ya afya. Agizo hilo linaenda sambamba na wataalamu wa Tehama, afya na wasimamizi wa mifumo kuwekeza matumizi ya teknolojia katika kutoa huduma za afya ili kutambua na kuzuia magonjwa … Continue reading Majaliwa ataka tafiti za tija mabadiliko sekta ya afya