KANISA la Moravian Tanzania, Jimbo la Mashariki limewataka Watanzania wasiwabeze wale wenye moyo wa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi nchini katika uchaguzi mkuu ujao.
zaidi ya miaka 5 iliyopita
WAKRISTO nchini wametakiwa wakati wakiadhimisha sikukuu ya kufufuka Yesu Kristo (Pasaka) waliombee Jeshi la Polisi ili wasifanyiwe vitendo vya kinyama na baadhi ya watu wenye nia mbaya na nchi.
ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema msimamo wake kuhusu Katiba Inayopendekezwa uko pale pale na ametaka wanaoamini alichosema, wasambaze ujumbe wake kwa wengine.
KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Dayosisi ya Kaskazini, limeomba serikali kuchukua hatua za makusudi kudhibiti matukio yanayohatarisha amani na utulivu kwani kwa kuyafumbia macho masuala hayo ni kuliingiza taifa katika machafuko.
MUASISI wa Mapinduzi ya Zanzibar ambaye ni miongoni mwa wajumbe wa kamati ya watu 14 walioshiriki mapinduzi hayo mwaka 1964, Hamid Ameir (85) ameeleza siri ya mafanikio ya uongozi wa Hayati Abeid Amaan Karume na kushauri viongozi walio madarakani kuiga mfano wake.
POLISI Visiwani Zanzibar imepiga marufuku vyama vya siasa kusafirisha wafuasi na wanachama wake kutoka wilaya moja kwenda nyingine kuhudhuria mikutano ya hadhara ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kudhibiti vurugu za kisiasa kwa wafuasi kushambuliana.
HATIMA ya kesi iliyofunguliwa na Mchungaji Christopher Mtikila katika Mahakama ya Rufaa akipinga uuzwaji wa jengo la iliyokuwa Forodhani Hoteli itajulikana Aprili 30 mwaka huu ambako Msajili wa Mahakama hiyo atasoma uamuzi.
MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Askofu Alex Malasusa amewataka wanawake nchini kuwa wavumilivu katika mambo mbalimbali yanayowakabili.
WATU sita wamekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumbaka mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 40.
WABUNGE wanawake wametakiwa kujenga uwezo wa kujenga hoja na kuhakikisha suala la mgawanyiko wa rasilimali kwenye bajeti ya Serikali unafanywa kwa mtazamo wa kijinsia ili kusaidia kuondoa umasikini.