WANANCHI wa Kata na Kijiji cha Chanya katika Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera wameomba Serikali kuwapatia Mkaguzi wa Ndani wa Hesabu za Serikali awasaidie kutambua matumizi mabaya ya fedha za ujenzi wa zahanati ambazo hazijulikani zilipo.
zaidi ya miaka 5 iliyopita
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimepanga kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 14 tangu mauaji ya Zanzibar, kesho.
WATANZANIA wanaopata ajira katika kampuni mbalimbali za wawekezaji waliopo nchini wametakiwa kubadilika na kuacha tabia ya kutisha wawekezaji hao kwa kutofanya kazi kwa bidii, uadilifu na uaminifu.
SHULE ya Msingi Saku iliyoko katika Manispaa ya Temeke inakabiliwa na mazingira mabovu ya kujifunzia ikiwemo kusomea chini ya miti, hali inayoathiri wanafunzi zaidi 2,500 wa shuleni hapo.
MABADILIKO madogo ya Baraza la Mawaziri yaliyofanywa na Rais Jakaya Kikwete sanjari na kujiuzulu kwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, kumeelezwa kuwa kumenusuru Bunge na msuguano usio na tija kwa wananchi na taifa kwa ujumla.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema CCM itasimamia misingi yake mikuu ya kuasisiwa kwake, ambayo ni kulinda amani na utulivu wa wananchi wake.
WANANCHI zaidi ya 500 wameandamana mwishoni mwa wiki hadi eneo la Unga Limited ambako walizuiwa na polisi, kabla ya kufika kwa Mkuu wa Wilaya Arusha.
KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amewataka Watanzania kutoa taarifa kuhusu makusudio ya kuuza nyumba za Serikali na mashirika ya umma, kutokana na madeni mbalimbali ili ziweze kukombolewa kabla ya kuuzwa.
RAIS mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi ameitaka jamii ya kifugaji na waokota matunda kote nchini, kufanya mapinduzi makubwa ya elimu kwa mtoto wa kike wa jamii hiyo na kuondokana na mila potofu za kuwazuia watoto hao kwenda shule.
MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Benson Bana ameutaka Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kubadili uamuzi wao wa kutaka kuwahamasisha wananchi wasijitokeze kupiga kura ya maoni ya Katiba Inayopendekezwa.