FIGO ni kiungo kimojawapo kati ya viungo muhimu ndani ya mwili wa binadamu ambacho kinapatikana maeneo ya ubavuni ndani ya tumbo la mtu.
zaidi ya miaka 5 iliyopita
HAKIKA nchi yetu ina watu na vitu vingi vya kukumbukwa kwa jinsi vilivyochangia maisha yetu ya leo.
KUTOKANA na ongezeko la watu duniani ambalo ni tishio kubwa kwa mazingira katika maeneo mengi si rahisi kuona tena eneo la mazingira asilia ambalo halijaguswa na binadamu.
NI umbali wa kilometa nane kutoka Tanga Mjini kwenda mapango ya Amboni yaliyoko eneo la Kiomoni, kata ya Kiomoni.
MKOA wa Iringa una sifa ya kuwa na hali nzuri ya hewa inayofaa kwa kilimo.
MABADILIKO ya tabia nchi ni miongoni mwa mambo yanayosababisha wataalamu wa kilimo kutafuta mbinu mpya za kufanya mapinduzi katika kilimo ili kuepusha baa la njaa.
WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga, wanatarajiwa kuifuata Platinum FC mwishoni mwa wiki ijayo kwa ajili ya mchezo wa marudiano utakaochezwa Zimbabwe, nje ya mji mkuu, Harare.
ALHAJI Said Omary au Gogopoa ni mmoja wa mabondia waliofanya vizuri wakati wa enzi zake za uchezaji nchini, ambapo mara nyingi alikuwa akiwatwanga wapinzani wake kwa Knockout au KO.
LIGI Kuu ya Tanzania Bara ndio inaelekea ukingoni, hivyo sasa kuna vita za aina mbili; ya kugombea kuchukua ubingwa na vita nyingine ni ile ya kupigania kubaki Ligi Kuu kwa zile timu zilizopo mkiani.
WASANII wengi wamekuwa wakiita muziki ni kazi yaani wakiwa na maana maisha yao yatakuwa yakiendeshwa kwa muziki ili kujipatia kipato cha kuendesha maisha yao.