UTOAJI wa zawadi ni utaratibu ambao kampuni, mashirika, taasisi na baadhi ya familia ama wazazi huutumia kumtia moyo mtu ili aendelee kujibidiisha katika kufanya vizuri zaidi katika jambo fulani.
zaidi ya miaka 6 iliyopita
LIPO tatizo la baadhi ya wazazi kuamini kwamba kila kitu lazima kifanywe na serikali, hata pale ambapo wana uwezo wa kuchangia.
KATA za Nkunga, Kiwira, Isongole, Ntembela na Ulenje zinapatikana pembezoni mwa Mlima Rungwe ambao ni wa tatu kwa urefu nchini baada ya milima Kilimanjaro na Meru.
JUMATATU tuliona kuwa dawa ya ukoko inaweza kupunguza malaria nchini na imedhihirika hivyo katika Mkoa wa Mwanza.
SOKA la Tanzania lina safari ndefu na linapambana na kasheshe nyingi kweli kuanzia ndani ya uwanja hadi nje ya uwanja.
WAKAZI wa Mikocheni na maeneo ya jirani katika Jiji la Dar es Salaam, Jumamosi ya Septemba 27, mwaka huu, walipata burudani ya kipekee kwenye onesho la wazi la sanaa ya Mtanzania lililoandaliwa na Taasisi ya Nafasi Art Place kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mikocheni katika Manispaa ya Kinondoni.
KUNA sababu nyingi zinazochangia Tanzania kufanya vibaya katika mchezo wa riadha kimataifa na hii ikiwemo kutokuwa na mashindano mengi, ambayo yangewawezesha wanariadha kupata uzoefu kitaifa na kimataifa.
MCHEZO wa mitumbwi ni moja ya michezo ambayo imepewa kipaumbele katika nchi mbalimbali, hasa zile zilizoendelea.
PILIPILI Entertainment wanaonekana kutaka kuleta mapinduzi ya sinema za Tanzania kwa kuanza kuleta sinema ambazo zinazungumza Kiswahili kinachoeleweka miongoni mwa filamu bora duniani.
KILA mwaka mamilioni ya waumini wa dini ya Kiislamu kutoka kila pembe ya dunia hukusanyika katika jiji takatifu la Makkah nchini Saudi Arabia kutekeleza nguzo mojawapo kati ya tano za dini hiyo. Tendo hili, mbali na kuzuru maeneo matakatifu yanayowaongezea imani katika dini yao, huwaunganisha Waislamu kama ndugu na kuimarisha umoja na usawa miongoni mwao.