TATIZO la dawa za kulevya hapa nchini limeendelea kushamiri licha ya kuwepo kwa juhudi mbalimbali katika kupambana na tatizo hilo.
zaidi ya miaka 6 iliyopita
MAJI ni rasilimali muhimu kwa maisha ya binadamu. Hata Dira ya Taifa ya Maendeleo inasisitiza kuwa ili wananchi wote wawe na maisha bora na mazuri, lazima wapate majisafi, salama na ya kutosha kwa umbali wa karibu usiozidi mita 400.
ULE usemi wa zamani wa wanawake wakiwezeshwa wanaweza, umepitwa na wakati badala yake kuna unaovuma kwamba wanawake wanaweza bila hata kuwezeshwa.
SIKU hizi ni nadra kwenye sherehe za aina mbalimbali kama vile harusi, kipaimara, kuaga bibi harusi ama zingine za aina hiyo kukosekana chupa za mvinyo maarufu kama shampeni zikifunguliwa kwa mbwembwe kama sehemu ya kupamba sherehe hizo.
BAADHI ya wazazi na walezi katika mkoa wa Rukwa wamekuwa mstari wa mbele kukumbatia ujinga kwa kuwashurutisha watoto wao kukatiza masomo na kuwaingiza katika ajira zisizo rasmi na kuwaozesha wakiwa shuleni.
KUNA aina nyingi za wadudu.
ASILIMIA 80 ya Watanzania ni wakulima, lakini pamoja na sekta hii kuwa na idadi kubwa, lakini mchango wake ni mdogo katika kuchangia maendeleo ya wakulima wenyewe.
KAMA mechi ya mahasimu wa jadi kwenye soka la Tanzania Simba na Yanga huwa haitabiriki, itajulikana leo baada ya kipyenga cha mwisho cha mwamuzi Israel Nkongo.
MUSSA Said Mussa ni miongoni mwa wachezaji wanaocheza Ligi Kuu Tanzania Bara, mwenye uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu katika mechi mbalimbali zikiwemo zile za ligi hiyo.
HIVI karibuni, Chama cha Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC) kilitangaza kuidhinisha pambano linaloandaliwa na Kampuni ya Cheka ambalo lingemkutanisha Francis Cheka na bingwa wa Afrika Mashariki mwaka 2012, Paschal Ndomba.