PADRI Deogratias Makuri wa Jimbo la Singida, amekubali yaishe. Amekubali ama akijua hakutenda alivyotuhumiwa au la, kwamba amelenga kutowaumiza waamini wake, wala kulichafua Kanisa kwa ubishi. Kwamba, huenda amekubali tu, lakini moyoni akijua anatumia fursa hiyo kuwasaidia wahitaji akiwamo mtoto huyo.