MARA nyingi stori ya filamu inaweza kuwa nzuri zaidi mtu anapoamua kukusimulia, na kutamani kuiona filamu yenyewe.
zaidi ya miaka 7 iliyopita
SINEMA ya marehemu Steve Kanumba ya Love and Power; ya Jacob Stephen ya Shikamoo Mzee na ya chipukizi katika tasnia hii ya Gubu la Mume zimeelezwa kufanya vyema katika mwaka huu.
UKOCHA wa mpira wa miguu ni kama zilivyo taaluma nyingine.
NGOMA za asili zimekuwa na mvuto mkubwa hasa pale zinapokuwa zikichezwa kwa ustadi mkubwa huku vionjo vya ngoma, marimba, zeze, manyanga, filimbi na hata njuga vikiwepo huleta msisimko wa aina ya pekee masikioni mwa wasikilizaji au watazamaji.
KWA muda mrefu hapa nchini kumekuwa na harakati za kusaidia kuinua michezo ya aina mbalimbali kama vile soka, netiboli, kikapu na mingine.
HOJA sio Yanga kufungwa na Simba kwenye mechi ya kampeni ya ‘Nani Mtani Jembe’ Jumamosi lakini imefungwa namna gani.
KATIKA kipindi cha sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya watalii wa nje na wa ndani wanaongezeka katika visiwa vya Zanzibar kutembelea vivutio vya utalii na hasa Jumba la Maajabu ambalo limesheheni historia kuhusu Zanzibar na ubunifu mkubwa juu ya usanifu wa majengo kwa kutumia teknolojia ya kipekee.
NI Watanzania wangapi wanajua kwamba Hifadhi ya Taifa ya Ruaha iliyopo Kusini mwa Tanzania ndio hifadhi kubwa kuliko zote nchini?
VIVIAN Mark (si jina halisi) ni muuguzi. Mdogo wake wa kiume mwenye umri wa miaka 22 sasa hana kazi ya kufanya baada ya kufeli na kurudia mtihani wa kidato cha nne zaidi ya mara mbili.
JANA Watanzania wameungana na Wakristo wengi ulimwenguni kuadhimisha sikukuu ya Krismasi kwa lengo la kukumbuka siku ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo miaka zaidi ya 2000 iliyopita.