RAFIKI yangu mmoja alinitaka nitangaze maslahi yangu.
zaidi ya miaka 7 iliyopita
SUALA uigizaji kwa nchi za wenzetu ni kitu ambacho kinahitaji umakini zaidi maana unaweza kusababisha madhara makubwa au kupoteza uhai wa mtu.
BIDII katika jambo lolote inaweza kumfikisha mtu katika mafanikio ya kutimiza ndoto zake, ikiwa atajitoa kwa dhati kusimamia mipango yote ya malengo aliyojiwekea.
MCHEZO wa kriketi ni moja ya michezo ambayo haijapewa kipaumbele stahiki nchini.
SHIRIKISHO la Ndondi Tanzania (BFT) mwishoni mwa wiki iliyopita lilifanya uchaguzi wake mkuu mjini Bagamoyo mkoani Pwani na kupata viongozi wake wapya watakaokuwa madarakani kwa kipindi cha miaka minne ijayo.
Mhadhara huu ulitolewa na Prof Ngugi wa Thiong’o, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwishoni mwa mwezi uliopita kwa lugha ya Kiswahili jambo ambalo kwa mujibu wa Dk Martha Qorro hajawahi kutoa mhadhara chuoni hapo kwa lugha ya Kiswahili, hali inayoonesha kukua na kukubalika kwa lugha hii adhimu ya Taifa.
MNAMO Oktoba 2, 2013 ilikuwa ni siku maalumu kwa watu wenye ndugu, rafiki au jamaa wanaosoma katika shule ya sekondari ya Mtakatifu Vincent iliyopo wilaya ya Urambo, mkoani Tabora siku ambayo wenyewe wanaiita visiting day na huwa inatokea kila jumamosi ya kwanza ya mwezi.
KATIKA siku za karibuni kumekuwepo na majibizano yasiyokuwa na staha kati ya wanasiasa na wakulima kuhusiana na matumizi ya mbolea inayotoka Arusha ya minjingu.
MAMBA au ngwena ni mnyama mkubwa jamii ya mjusi kutoka familia ya Crocodilia.
SHIRIKA la Foundation for Civil Society (FCS) limekuwa ni kiungo kikuu kusaidia makundi mbalimbali ya watu katika masuala mbalimbali na pia jambo la msingi ni katika kutoa mchango wake katika Katiba mpya inayoandaliwa sasa.