WASHUBI na Wahangaza ni makabila ya Kibantu yanayopatikana Kaskazini Magharibi mwa Tanzania katika Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera.
zaidi ya miaka 6 iliyopita
UTAMADUNI wa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano unaonekana kuwavutia zaidi wanafunzi wa kiume huku wale wa kike wakiwa wameachwa njia panda.
UKISTAAJABU ya Mussa utayaona ya firauni. Usemi huo ulidhihirika Jumamosi na Jumapili iliyopita kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati yakifanyika mashindano ya Taifa ya riadha na kushirikisha mikoa 21 ya Tanzania Bara na Zanzibar.
TANZANIA imekuwa ikikwama katika mashindano ya michezo mbalimbali ya kimataifa ukiwemo mpira wa miguu kwa vile haijawekeza kwa vijana wadogo kama zilivyo nchi nyingine duniani.
KWA sasa wasanii wengi wa Tanzania wamekuwa wakijihusisha na utengenezaji wa video zao nje ya nchi huku wengi wakiwa wanakwenda zaidi Afrika Kusini kutengeneza video zao hizo.
FILAMU hii iliingia tamasha la Sundance ikateuliwa, tamasha la San Francisco ikateuliwa na ilipoingia tamasha la Venice ikatwaa tuzo ya Lion of the future.
TAMKO la Mapatano ya Mkutano wa Halmashauri Kuu ya 48 ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), limejikita katika mambo makubwa matatu, ambayo kabla ya kuendelea na makala haya ni vema kuyaangalia kwanza kwa undani.
WAJAWAZITO 20 hadi 25 kati ya 350 ambao hujifungulia katika Hospitali ya Mkoa wa Kagera kila mwezi, hutakiwa kuongezewa damu salama kutokana na matatizo mbalimbali ya uzazi.
IDADI ndogo ya wanafunzi wa kike wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Masaki wilayani Kisarawe inasikitisha sana. Kwa sasa kuna wanafunzi sita tu wa kike ingawa wakati wanaanza kidato cha kwanza darasa hilo lilikuwa na wasichana 27.
WAKATI makala haya yanaandikwa, mapigano kati ya Israel na Palestina yalikuwa yanaendelea kurindima huku Jeshi la Israel linaloaminika kuwa la nne duniani kwa kuwa na silaha nzito na kali, likitoa onyo na kuwataka wakazi wa Mashariki na Kaskazini mwa Gaza kuhama makazi yao ili kuwanusuru na maafa yanayotokana na mashambulizi yao.