WILAYA mpya ya Butiama mkoani Mara imepiga hatua katika shughuli za maendeleo kwa kutekeleza kwa zaidi ya asilimia 70 mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) katika sekta za maji, afya, elimu na ujenzi wa miundombinu.
zaidi ya miaka 8 iliyopita
WAKATI nchi ikielekea kuadhimisha miaka 50 ya Muungano Jumamosi hii, kumekuwa na maoni mbalimbali yanayotolewa na wananchi juu ya Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini Dodoma hasa kwenye suala ambalo linabishaniwa sana la muundo wa serikali.
NIMEKUWA miongoni mwa Watanzania, wanaofutilia kwa karibu sana mjadala wa mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoendelea mjini Dodoma kwa kuwa una muhimu mkubwa kwa mustakabali wa nchi yetu.
“MIMI ni shahidi wa Muungano. Muungano huu umekuja kwa sababu nyingi sana. Kwanza kulikuwa na dhamira ya kisiasa ya nchi za Kiafrika za kutaka kukomboa nchi zao na baada ya kumaliza tofauti zao waungane kwa lengo la kujenga umoja ili kuendeleza mapambano hayo,” anasema aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Dk Mohammed Seif Khatibu.
NI mwaka mmoja sasa umepita tangu kuundwa kwa kundi la sanaa la Mbeya Film All Stars Arts Group (MFASAG) lenye maskani yake jijini Mbeya.
MICHEZO ya 36 ya Shule za Sekondari nchini inamalizika leo mjini Kibaha huku ikidhihirika nchi yetu ina wachezaji wengi wenye vipaji ambao wanatakiwa kuendelezwa ili kuliwezesha taifa kufanya vizuri kimataifa.
ADY de Batista alishuka taratibu katika gari la Noah, akiwa amevalia nguo nyeupe.
HIVI sasa tukio kubwa la mchezo wa soka linaloendelea duniani ni michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Brazil.
TERRY Moitheri Pheto mwenye kipato cha Dola za Marekani milioni nane, anataka kujifunza Kiswahili ili kuweza kufanya kazi na Watanzania.
“HII tabia ya kuwawekea mizengwe washindani katika chaguzi mbalimbali nchini mwetu inakera sana. Katika chaguzi mbalimbali, watu wote wenye nguvu za kushinda au kutoa ushindani mkali huwekewa mizengwe ili wabaki wachovu kuwawezesha wateule wapite kirahisi.