HATIMAYE hatari ya kupoteza maisha kulikogharimu maisha ya makumi kwa makumi ya wakazi wa wilaya ya Nyasa na waliokua wakitembelea wilaya hii wakati wa kuvuka mto Ruhekei kwenda Mbambabay imefikia mwisho.
zaidi ya miaka 7 iliyopita
UNAPOINGIA eneo la Forest Mpya mkabala na Hospitali ya Mkoa wa Mbeya unakutana na Tawi la Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), ambacho kwa sasa kimekuwa ni mkombozi kielimu kwa wakazi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini Magharibi.
PUNDA ni mnyama katika familia ya Equidae ambayo inajumuisha farasi na pundamilia.
MTAALA wa elimu ya awali unatumia vifaa mbalimbali vikiwemo muhtasari, vitabu vya kiada na ziada, miongozo ya kufundishia na zana mbalimbali za kufundishia na kujifunzia.
SEKTA ya utalii ni muhimu kwa maendeleo ya taifa lolote duniani kutokana na mchango wake katika kukuza uchumi.
WAKAZI wa Kisiwa cha Songosongo, Kilwa mkoani Lindi wako katika neema, kwani wameunganishiwa umeme bila malipo yoyote na kuunganishiwa maji bure pamoja na watoto 10 wanaofaulu darasa la saba hupelekwa shule ya Makongo na kusomeshwa bure na wawekezaji wa gesi.
KISWAHILI kinaweza kupunguza tatizo la ajira kwa wasomi hapa Tanzania. Tatizo la ajira tumelishuhudia siku za hivi karibuni ambapo matangazo mawili ya ajira yalitangazwa.
KUNA watu ambao wamekuwa wakikejeli kuwa tatizo la maji jijini Dar es Salaam ni la kudumu.
MBIO za marathoni za Uhuru zinatarajia kuzinduliwa mapema mwezi ujao jijini Dar es Salaam huku ujumbe mkuu wa mwaka huu ni kuulinda na kuienzi amani ya Tanzania.
WAPO wananchi Tanzania ambao wanatamani kujua Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano ina nini ndani kwani hawajawahi kuiona na wengine hawajui hata rangi yake.
zaidi ya miaka 10 iliyopita