WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Said Ali Mbarouk amesema kuwa kunahitajika uwezo zaidi katika timu ya Taifa ili iweze kushiriki vyema na kutwaa ubingwa katika michuano ya Kombe la Chalenji inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu, Nairobi, Kenya.