RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi anatarajiwa kuwasili visiwani Zanzibar leo kuonana na viongozi wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA).
zaidi ya miaka 7 iliyopita
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen jana aliwakera mashabiki wa soka nchini baada ya timu hiyo kushindwa kuitambia Zimbabwe katika mechi ya kimataifa ya kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kwa kutofungana, huku akitumia muda mwingi kushindwa kubadili mchezo.
HAMKANI si shwari tena Simba. Mwenyekiti wa Klabu hiyo, Ismail Aden Rage pamoja na makocha Abdallah Seif ‘Kibadeni’ na Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ wametangazwa kuwekwa kando.
KAMPUNI ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imetangaza ushirikiano na klabu ya soka ya Manchester United ya England utakaowezesha wateja wa kampuni hiyo kujishindia safari za kwenda kushuhudia mechi za klabu hiyo moja kwa moja kwenye Uwanja wa Old Trafford jijini Manchester.
KAZI ya kuanza kutandika nyasi bandia kwenye Uwanja wa Amaan mjini Unguja, inatarajiwa kuanza wiki ijayo baada ya kuwasili kwa mkandarasi ambaye anatarajia kufika Jumanne ijayo akitokea nchini China.
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Suleiman Msindi “Afande Sele,” amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kukabidhiwa kadi namba 2116544.
MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Solomon Mukubwa atashiriki Tamasha la Krismasi lililopangwa kufanyika Desemba 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
TIMU ya Yanga inayoshiriki michuano ya Kombe la Uhai kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 (U20) kwa klabu za Ligi Kuu ya Tanzania Bara, jana iliifunga Coastal Union ya Tanga mabao 1-0.
REAL Madrid haitatumia usajili wa dirisha dogo Januari kuziba nafasi ya majeruhi Sami Khedira, huku kocha Carlo Ancelotti akisisitiza kuwa na wachezaji wanaoweza kumudu nafasi ya kiungo.
KOCHA wa Hispania, Vicente del Bosque amesema amewachagua Xavi na Andres Iniesta katika kuwania tuzo za Ballon d'Or. Franck Ribery, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndio wanaopewa nafasi kutwaa tuzo hiyo mwaka huu.