MSANII na muongozaji filamu maarufu nchini, George Otieno ‘Tyson’ amefariki dunia juzi kwa ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Silwa, Dodoma.
zaidi ya miaka 6 iliyopita
TIMU ya soka ya taifa, Taifa Stars leo ipo mjini Harare, Zimbabwe, kumenyana na timu ya taifa ya huko katika mechi ya kuwania kufuzu michuano ya Kombe la Mataifa Afrika.
KATIKA juhudi za kuunga mkono serikali kukuza vipaji vya wanariadha hapa nchini, Benki ya Afrika Tanzania imemdhamini tiketi ya ndege mwanariadha Oswald Kahuruzi kushiriki mashindano ya siku moja ya Lanzhou International Marathon yatakayofanyika kesho katika mji ya Lanzhou, China.
WABUNGE nchini wameshauri Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuungana na Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kupata shirikisho moja.
TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars jana ilifanikiwa kufuzu raundi ya pili ya kuwania kufuzu fainali za kombe la Mataifa Afrika baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na Zimbabwe katika mchezo mkali wa marudiano uliofanyika jijini Harare.
UCHAGUZI Mkuu wa Yanga umesogezwa mbele hadi Juni 14 mwakani huku wanachama wakimtaka Mwenyekiti wao Yusufu Manji kuwania tena nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka minne au minane endapo itakubaliwa kwenye Katiba.
KAMATI ya Uchaguzi ya klabu ya Simba, chini ya Mwenyekiti Dk Damas Ndumbaro, imewaondoa wagombea saba katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ujumbe wa Kamati ya Utendaji wa klabu hiyo, huku wagombea wengine watano wakitangaza kujitoa katika mchakato huo kwa sababu za kifamilia.
KUNA kila dalili mahudhurio ya matamasha ya ziara ya wanamuziki ya Kili, inayodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya TBL kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager mwaka huu yakawa maradufu kutokana na tamasha hilo kuongezeka umaarufu na kuwa na mvuto wa kipekee ambao ni nadra kuupata katika matamasha mengine.
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) linakabiliwa na kashfa mpya ya rushwa juu ya mkanganyiko wa kuipa Qatar nafasi ya kuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia mwaka 2022.
BARCELONA inajiandaa kumruhusu Cesc Fabregas kuondoka msimu huu kwa pauni milioni 30 na kiungo huyo huenda akataka kurudi kwenye Ligi Kuu.