SERIKALI imesema inasubiri wachezaji wa kuogelea wakusanyike ili kambi ya maandalizi ya michezo ya Madola itakayofanyika kuanzia mwezi ujao, Glasglow, Scotland.
zaidi ya miaka 6 iliyopita
WIZARA ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia imeanza mikakati ya kuwawezesha wasanii wa muziki kupata fedha stahili kutokana na miito ya kwenye simu kwa kuandaa kanuni zitakazozitaka kampuni za simu kuweka wazi mapato yatokanayo na miito hiyo pekee.
NOVAK Djokovic juzi alimfunga Milos Raonic na kutinga nusu fainali za French Open na hivyo kuwa katika nafasi nzuri ya kuwania taji lake la kwanza la Roland Garros.
MASHINDANO ya Ngoma za asili kwa wakazi wa Kanda ya Ziwa yanayodhaminiwa na bia ya Balimi yanatarajia kuanza kutimua vumbi Juni 7 kwenye mikoa mbalimbali ya kanda hiyo.
SERIKALI imevitaka vyama vya michezo kuwaendeleza wachezaji chipukizi ili kuwawezesha kufanya vizuri zaidi katika mashindano mbalimbali ya kimataifa.
TANZANIA imepanda nafasi tisa katika msimamo wa viwango vya soka duniani, baada ya jana Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), kutangaza viwango vya Juni mwaka huu.
ZAIDI ya wanafunzi 2,000 wanatarajiwa kupata nafasi ya kujifunza na kujadili masuala mbalimbali ya filamu katika Tamasha la 17 la Nchi za Majahazi (ZIFF) linalotarajiwa kuanza wiki ijayo.
KOCHA Msaidizi wa timu ya soka ya Taifa, Taifa Stars, Salum Mayanga amesema mechi ijayo ya kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Msumbiji, itakuwa ngumu kutokana na wapinzani wao kuwa juu katika kiwango cha soka.
MSHAMBULIAJI wa Atletico Madrid, Diego Costa amefuzu vipimo vya afya yake katika klabu ya Chelsea kuelekea uhamisho wa thamani ya pauni milioni 32. Chelsea imekidhi kipengele cha kununua mkataba wa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 25 na Atletico na sasa atajadiliana kuhusu maslahi binafsi.
KATIBU Mkuu wa Yanga, Beno Njovu amewataka wachezaji wa Yanga kuwa na subira wakati uongozi ukijiandaa kumtangaza kocha raia wa Brazil, Marcio Maximo, kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo.